Kwanza kujifuta, kisha kujisafisha


134- Nilimwona baba yangu akitilia bidii kuhakikisha mkojo wote umetoka baada ya kumaliza kukojia. Baada ya kujisaidia akijipangusa kwa mawe. Baada ya hapo akijisafisha. Alikuwa pia akitumia maji baada ya kuhakikisha kuwa mkojo wote umekwishatoka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/109)
  • Imechapishwa: 04/02/2021