Kwanini wasikufurishwe waislamu wenye kucheza filamu za ngono?


Swali: Mwenye kuzini na akatangaza hilo mbele za watu kwa njia ya kwamba akarekodi hilo kwenye mkanda na kuonyesha namna ya kuzini, hilo linamfanya kuritadi na atadumishwa kwenye Moto wa Jahannam milele? Mimi nimemsikia mwenye kusema hivo.

Jibu: Akihalalisha hilo anaritadi. Ama maadamu hajahalalisha, ni Faasiq.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2018