Swali: Mwenye kuzini na akatangaza hilo mbele za watu kwa njia ya kwamba akarekodi hilo kwenye kanda na kuonesha namna ya kuzini, hilo linamfanya kuritadi na atadumishwa milele Motoni? Mimi nimemsikia mwenye kusema hivo.

Jibu: Akihalalisha hilo anaritadi. Ama muda wa kuwa hajahalalisha ni fasiki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 01/06/2015