Kwanini walinganizi wa shirki wanaitwa makhurafi?


Swali: Ni kwa nini walinganizi wa shirki wanaitwa “makhurafi”? Nini maana yake?

Jibu: Kwa sababu wanategemea mambo ya kikhurafi yasiyokuwa na asli. Wanaviegemeza vitu hivyo na ukhurafi. Ukhurafi ni vitu visivyokuwa na asli katika Qur-aan na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (44) http://alfawzan.af.org.sa/node/2150
  • Imechapishwa: 06/09/2020