Kwanini mwoshaji anaoga baada ya kumuosha maiti?

Swali: Ni ipi hekima ya kuoga kwa yule ambaye ameosha maiti?

Jibu: Kwa sababu kumwosha maiti kunazidhoofisha nguvu; mwoshaji hufikiria kifo na yenye kutokea baada ya kifo. Hivyo matokeo yake nguvu zinadhoofika na mtu anafikwa na kitu katika unyonge. Hivyo kuoga kunamuunga, kunampa uchamfu na kumtia nguvu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6239/%D9%85%D8%A7-%D8%A7%D9%84%D8%AD%D9%83%D9%85%D8%A9-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%A7%D8%BA%D8%AA%D8%B3%D8%A7%D9%84-%D9%84%D9%85%D9%86-%D8%BA%D8%B3%D9%84-%D9%85%D9%8A%D8%AA%D8%A7
  • Imechapishwa: 11/12/2020