Kwanini asikufurishwe mwenye kuwachukia Maswahabah?


Swali: Lini mwenye kuwachukia Maswahabah anakuwa ni kafiri aliyekufuru kufuru kubwa?

Jibu: Hakuna ufafanuzi juu ya kuwachukia Maswahabah ya kwamba ni kafiri. Hatuna ufafanuzi juu ya kwamba ni kafiri. Hakuwachukia isipokuwa ni kwa sababu anamchukia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na kuchukia yale waliyopokea kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Hakuna mtu ambaye ndani ya moyo wake mna imani anawachukia kwa hali yoyote.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2018