Kwanini Asikufurishwe Anayepinga Kuwepo Kwa Malaika?


Swali: Ni ipi hukumu ya ambaye anapinga uwepo wa Malaika?

Jibu: Ni kafiri. Mwenye kupinga uwepo wa Malaika ni kafiri. Amepinga nguzo miongoni mwa nguzo za imani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (16) http://alfawzan.af.org.sa/node/2059
  • Imechapishwa: 02/05/2017