Kwanini asikufurishwe anayepinga kufufuliwa?


Swali: Kuna ambao wanawaita watu kwenye baadhi ya mapote ambayo hayatambui [hayaamini] kufufuliwa baada ya kufa, kama mfano wa Hizb-ul-Ba´th. Je, kundi hili ni la Kiislamu au la kikafiri?

Jibu: Wewe unasema kuwa linapinga kufufuliwa kisha wauliza kama ni la Kiislamu? Anayepinga kufufuliwa sio Muislamu. Anayepinga kufufuliwa na kuwahuisha maiti, malipo na hesabu, huyu sio Muislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Aqiydat-is-Saffaariniyyah (10) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_10.mp3
  • Imechapishwa: 26/06/2018