Kuzungumza wakati wa Khutbah ya ´iyd


Swali: Ni ipi hukumu ya kukaa na kusikiliza Khutbah ya ´iyd na kuzungumza ndani yake?

Jibu: Imechukizwa kuzungumza wakati wa Khutbah na wakati wa darsa. Ama kuhusu [Khutbah ya] ijumaa imeharamishwa kuzungumza. `Iyd haikuharamishwa, bali hili limechukizwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (54) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13468
  • Imechapishwa: 16/11/2014