Kuzidisha juu ya Swaa´ katika Zakaat-ul-Fitwr

Swali: Ni ipi hukumu ya mtu akakusudia kuzidisha juu ya pishi katika Zakaat-ul-Fitwr hata kama atanuia kuwa ni swadaqah?

Jibu: Hakuna neno. Kuzidisha kumefunguliwa hakuna neno. Kisichojuzu ni kule kupunguza na wala hakitoshelezi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/12939
  • Imechapishwa: 21/06/2017