Kuzidisha au kupunguza Takbiyr za swalah ya ´Iyd

Swali: Imamu akizidisha au akipunguza Takbiyr wakati wa swalah ya ´iyd. Je, anatakiwa kusujudu sijda ya kusahau?

Jibu: Hapana, asisujudu sijda ya kusahau. Swalah yake haidhuriki kwa kuacha zile Takbiyr zote zenye kuzidi.  Swalah yake ni sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 31/05/2019