Kuzichonga ndevu bila ya kuzinyoa

Swali: Ni ipi hukumu ya kuzichonga ndevu pasi na kuzinyoa?

Jibu: Haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Ziacheni ndevu… “

“Zifugeni ndevu… “

“Zirefusheni ndevu… “

Haijuzu kuzishambulia kwa kuzikata, kuzichonga wala kuzinyoa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 04/08/2019