Kuzichambua ndevu


Swali: Je, imeshurutishwa kwa ambaye yuko na ndevu kidogo kufikisha maji kwenye maoteo ya nywele?

Jibu: Inatosha kupitisha maji juu yake. Kumepokelewa Hadiyth Swahiyh zinazojulisha juu ya hilo. Akizichambua ndio bora. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliyafanya yote mawili.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (10/99)
  • Imechapishwa: 13/08/2021