Kuyaonyesha madhambi hadharani ni dhambi kubwa


Swali: Sigara, kujitoa manii na kunyoa ndevu[1] ni katika madhambi makubwa?

Jibu: Kufanya mambo wazi wazi [pasina kujificha] na kudumu nayo, kunafanya yanakuwa madhambi makubwa. Ama ikiwa mtu alifanya mara moja na akatubu na baadae akaacha, anasamehewa na inakuwa ni dhambi ndogo.

 [1] http://firqatunnajia.com/kwa-sababu-kunyoa-ndevu-ni-dhambi-kubwa/

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_07.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2018