Swali: Ni ipi hukumu ya kuweka mti kama Sutrah?

Jibu: Hakuna neno. Akiweka mbele yake kitu cha kusimama, sawa ikiwa ni mti au kitu kingine, ni sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014