Kuweka mkono mahali pa maradhi wakati wa Ruqyah


Swali: Je, msomaji ataweka mkono wake kwenye kiungo kinachouma cha mgonjwa? Na je, hili limethibiti katika Sunnah kutoka kwa Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Ndio. Imethibtii kuwa mkono wa msomaji atauweka mahali pa maradhi, sawa ikiwa najisomea mwenyewe au anasomea wengine. Msomaji ataweka mkono wake mahali pa maumivu na kusoma Ruqyah. Hii inakuwa sababu zaidi ya dawa kwa idhini ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=SnJWTFGvR2I
  • Imechapishwa: 23/03/2018