Kuweka mkatikati bila kumtekelezea ´ibaadah yoyote


Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kujifanyia mkati na kati baina yake yeye na Allaah? Lakini hata hivyo pasi na kumtekelezea kitu chochote katika ´ibaadah. Je, hii ni shirki ndogo?

Jibu: Hii ni Bid´ah na ni njia inayopelekea katika shirki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 78
  • Imechapishwa: 21/09/2018