Kuweka kitambaa juu wakati wa kumshusa mwanamke kwenye kaburi


Swali: Ni yapi maoni yako kwa kitendo kinachofanywa na baadhi wanaweka kitambaa juu ya kaburi wakati wa kumshusha mwanamke ndani ya kaburi lake?

Jibu: Ndio. Kaburi la mwanamke lisitiriwe wakati wa kumshusha, sawa ikiwa ni kwa [kuweka] kitambaa au kitu kingine. Ama kuhusu mwanaume hakuna haja ya kuweka sitara.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (73) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14115
  • Imechapishwa: 17/11/2014