Swali: Tunaona ´Awwaam wengi namna ambavyo wanafungua maji bombani kwa nguvu na maji yanaharibiwa. Tunaweza kuweka ilani ya Hadiyth:

“Usifanye israfu hata kama utakuwa katika mto unaokwenda kwa kasi.”

chooni na kwenye bomba?

Jibu: Hapana. Usitundike kitu. Badala yake wafunze watu misikitini na katika durusi. Wafunzeni watu pasi na ilani. Ilani sio masomo. Hawajali ilani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017