Swali: Inaingia katika kuunga kizazi mtu kuwa na mawasiliano na dada yake wa kunyonya? Je, ni wajibu?

Jibu: Hapana. Dada wa kunyonya sio kama wa nasabu. Sio kama ndugu. Kufanana kunakopatikana ni kuwa dada wa kunyonya ni haramu wewe kumuoa. Halipelekei katika haki za udugu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 14/03/2017