Swali: Mchwa wamenisumbua ambapo nikamwaga maji ya moto mahali pale. Je, inafaa kwangu kufanya hivyo?

Jibu: Haijuzu kufanya hivo:

“Haifai kuadhibu kwa moto isipokuwa Mola aliyeumba huyo moto.”

Haifai kufanya hivo. Lakini tumia vitu ambavyo vitafanya mchwa kukukimbia pasi na kuwatia moto au kutumia maji yenye moto.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18361
  • Imechapishwa: 09/07/2020