Kuwatembelea wagonjwa makafiri


920- Nilimsikia Ahmad bin Hanbal (Radhiya Allaahu ´anh) akiulizwa juu ya kuwatembelea wagonjwa ambao ni mayahudi na manaswara. Akajibu:

“Ikiwa lengo lake anataka kuwalingania katika Uislamu, ndio.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 189
  • Imechapishwa: 06/07/2019