Swali: Ni ipi hukumu ya kuwatahadharisha na kuwakashifu Ahl-ul-Bid´ah kwenye vyombo vya mawasiliano?

Jibu: Ni vizuri ikiwa lengo ni kutahadharisha nao. Ni jambo zuri kuwakashifu kwa lengo la kuwatahadharisha na kuwakemea.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (62) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd14-07-%201438.mp3
  • Imechapishwa: 22/07/2017