Kuwapiga Vita Shiy´ah Wanaowadhuru Waislamu


Swali: Kupigana vita dhidi ya Raafidhwah inazingatiwa kuwa ni Jihaad katika njia ya Allaah?

Jibu: Ndugu! Yule anayewafanyia uadui Waislamu lau ataswali usiku na mchana, vita dhidi yake inazingatiwa ni Jihaad katika njia ya Allaah ili kuzuia shari yake. Kwa ajili hiyo Maswahabah ndio maana waliwapiga vita Khawaarij, waasi na wakata njia ilihali ni Waislamu. Kumfanyia Jihaad mrukaji mipaka hii ni Jihaad katika njia ya Allaah (´Azza wa Jalla) hata kama itakuwa (anayefanyiwa Jihaad hiyo) ni katika watu bora kabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1431-1-17.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014