Swali: Kupigana vita dhidi ya Raafidhwah inazingatiwa kuwa ni Jihaad katika njia ya Allaah?

Jibu: Ndugu! Yule anayewafanyia uadui waislamu ijapo ataswali usiku na mchana, vita dhidi yake inazingatiwa ni Jihaad katika njia ya Allaah ili kuzuia shari yake. Kwa ajili hiyo Maswahabah ndio maana waliwapiga vita Khawaarij, waasi na wakata njia ilihali ni Waislamu. Kumfanyia Jihaad mrukaji mipaka hii ni Jihaad katika njia ya Allaah (´Azza wa Jall) hata kama itakuwa [anayefanyiwa Jihaad hiyo] ni katika watu bora kabisa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-1-17.mp3
  • Imechapishwa: 11/11/2014