Kuwapenda Wachezaji Boli Makafiri Kuna Kasoro Katika ´Aqiydah?

Swali: Je, inajuzu kumpenda mcheza mpira kafiri? Je, kitendo hichi kina uendaji kinyume au kasoro katika ´Aqiydah?

Jibu: Ndio. Mwenye kumpenda kafiri, sawa awe ni mcheza mpira au mwingine, ni katika kumpenda kafiri jambo ambalo halijuzu:

لَّا تَجِدُ قَوْمًا يُؤْمِنُونَ بِاللَّـهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ يُوَادُّونَ مَنْ حَادَّ اللَّـهَ وَرَسُولَهُ وَلَوْ كَانُوا آبَاءَهُمْ أَوْ أَبْنَاءَهُمْ

“Hutokuta watu wanaomuamini Allaah na siku ya Mwisho kuwa wanawapenda wale wanaopinzana na Allaah na Mtume Wake, japo wakiwa ni baba zao au watoto wao.” (48:22)

Hata kama wanacheza mpira. Hili haliwanufaishi kitu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Madjîd (25) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%2027-%2012-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017