Kuwapa watoto wachanga majina ya Aayah za Qur-aan

Swali: Baadhi ya watu wanawaita watoto wao kwa majina ya Aayah kama mfano wa Afnaan (أفنان), Aalaa´ (آلاء) na nyenginezo. Ni yepi maoni yako?

Jibu: Hakuna ubaya katika hilo na hivi ni viumbe. Aalaa´ ni neema na Afnaan ni matawi. Watu wamekuwa ni wenye kubadilishabadilisha majina na wanawatafutia watoto wao wa kike na watoto wao kiume majina mapya.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (9/417)
  • Imechapishwa: 24/07/2021