Swali: Mtu akienda kwa aliyemo ndani ya kaburi na kumuomba amuombee kwa Allaah inazingatiwa kuwa ni shirki? Baadhi ya watu wamesimulia kutoka kwa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah ya kwamba kitendo hicho ni Bid´ah.

Jibu: Hii ndio shirki yenyewe. Kuwaomba maiti haja ni shirki. Haijalishi kitu sawa ikiwa ni du´aa au kitu kingine. Mwenye kufanya uvuaji kwa du´aa na kusema kuwa sio shirki ni juu yake alete dalili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2106
  • Imechapishwa: 01/07/2020