Swali: Mtoto wa kaka yangu amefariki na alikuwa na miaka kumi na tano. Nimemlea tangu alipokuwa na umri wa mwaka mmoja. Je, ataniombea uombezi siku ya Qiyaamah?

Jibu: Una ujira wa udugu kwa kuwa ni mtoto wa kaka yako na una ujira wa uyatima kwa kuwa umemtendea yatima wema. Una ujira mara mbili; ujira wa udugu na kumtedea yatima wema.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-07-18.mp3
  • Imechapishwa: 09/08/2020