Kuwakata watenda maasi


Swali: Je, kuwakata watenda maasi ni jambo limewekwa katika Shari´ah katika kila hali? Je, lina muda uliowekewa kikomo?

Jibu: Ikiwa kule kuwakata kunapelekea wakatubia, basi ni wajibu kuwakata. Ama ikiwa kunapelekea wakazidisha na hawatotubia, endelea kuwanasihi na wala usiwakate. Wasipoitikia basi jiepushe nao na wala usitangamane nao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (49) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/m-3%20%20-%2012%20-%202%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 07/11/2018