Kuwaitikia salamu wapitanjia

Swali: Ni ipi hukumu ya kumwitikia salamu mpitanjia na ambaye sikumsikia kunitolea salamu lakini namwitikia kwa kumjengea dhana nzuri?

Jibu: Ukimsikia mwitkie na usipomsikia si lazima kwako kumwitikia.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (14) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=audioinfo&audioid=191634
  • Imechapishwa: 03/04/2020