Kuwahudhurisha watoto kwa mbele pindi ya kuwasomea du´aa

Swali: Ni lazima kwa wazazi kuwahudhurisha watoto mbele yao pindi wanapotaka kuwasomea nyuradi  za kinga?

Jibu: Ndio, si lazima. Wawasomee na kuwaombea du´aa za asubuhi na jioni ijapo hawatokuwa mbele yao.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (105) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/20-03-1441-H-%20igah.mp3
  • Imechapishwa: 31/10/2020