Kuwahifadhia watoto picha zao wakiwa wachanga

Swali: Ni ipi hukumu ya kuhifadhi picha za watoto wachanga ili wazione watapokuwa wakubwa?

Jibu: Haijuzu kufanya hivi. Hili halijuzu kabisa. Kuhifadhi picha kwa ajili ya kumbukumbu au kwa ajili ya kuziona haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/2121
  • Imechapishwa: 01/07/2020