Kuwachukia Maswahabah ni unafiki


Swali: Hadiyth ipi ina mnasaba upi na ni ipi maana yake. Nayo ni maneno ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Hakuna anayemchukia ´Aliy isipokuwa mnafiki tu”?

Jibu: Hakuna anayewachukia Maswahabah isipokuwa ni mnafiki. Inahusiana na Maswahabah wote. Hakuna anayewachukia isipokuwa mnafiki tu. Muumini tu ndiye anawapenda.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_13.mp3
  • Imechapishwa: 18/06/2018