Kuwaangalia wanawake waliovaa vibaya kunaharibu swawm?


Swali: Kutoka barabarani kwa ajili ya kutekeleza manufaa fulani na kuwaangalia wanawake waliovaa uchi mchana wa Ramadhaan kunabatilisha swawm?

Jibu: Hakubatilishi swawm. Hata hivyo ni wajibu kwake kuteremsha macho kiasi na anavyoweza.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (10/274)
  • Imechapishwa: 11/06/2017