Kuwaalika masikini kwenye chakula katika kafara ya yamini


Swali: Muislamu akitaka kumualika masikini wali au kuku kwenye mgahawa inatosheleza katika kafara ya yamini?

Jibu: Akiwaalika masikini kumi katika chakula cha mchana au chakula cha usiku inatosheleza katika kafara yake ya yamini. Amewalisha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (13) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-08-09.mp3
  • Imechapishwa: 25/05/2018