Kuwa na shaka kwamba wapo watu ambao hawalazimiki kumfuata Mtume

Swali: Mwenye kutilia shaka kwamba inafaa kwa baadhi ya watu kutoka nje ya Shari´ah ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hukumu yake ni kama yule anayeamini hivo?

Jibu: Ndio. Mwenye kutilia shaka kwamba baadhi ya watu wanaweza kutoka nje ya Shari´ah ya Muhammad na kwamba si lazima kwa baadhi ya watu kumfuata Mtume anakufuru kwa kule tu kutilia shaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (09) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/09.mp3
  • Imechapishwa: 24/03/2019