160- Nilimuuliza baba yangu kuhusu mtu mwenye kufuta juu ya kilemba kisha akakivua ndani ya swalah. Akajibu:

“Atatakiwa kurudi kutawadha na swalah.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdullaah bin Ahmad bin Hanbal (kfk. 290)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad (1/124)
  • Imechapishwa: 08/02/2020