Kuuza viatu vyenye chembe za pombe na nyama ya nguruwe

Swali: Je, inajuzu kuuza chakula ambacho ndani yake kuna nguruwe au chembe za pombe? Ni jambo la kawaida USA kwamba waislamu wanamiliki maduka ambapo wanauza pombe, nyama ya nguruwe na sigara au watu wanafanya kazi kwenye maduka haya.

Jibu: Haijuzu kuuza yale ambayo Allaah ameharamisha kula au kutumia. Miongoni mwa vitu hivyo ni hayo yaliyotajwa katika swali.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (13/48)
  • Imechapishwa: 03/10/2020