Kuuza nguo za wanawake zisizositiri vizuri


Swali: Nina duka ambapo nauza nguo za wanawake. Ni ipi hukumu ya kufanya biashara na nguo hizi pamoja na kujua kuwa ni mavazi ya uchi?

Jibu: Haijuzu kuuza mavazi yasiyotiri. Ni haramu kwake kuuza mavazi yasiyositiri. Huku ni kusaidia shari, kujiachia na maasi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
  • Imechapishwa: 14/04/2018