Kuuza kinga ya mdomo kwa bei ya juu

Swali: Kinga ya mdomo ni miongoni mwa vitu ambavyo bei yake imekuwa kubwa masokoni kwa sababu ya uhaba wake na wingi wa watu wanaoziulizia. Je, inafaa kwao kuziuza kwa bei ya juu?

Jibu: Si sawa kwa mtu kutumia fursa majanga ya watu ambapo wakawapandishia bei. Mtu aendelee kuuza kile alichokuwa anauza. Mtu asitumie fursa ya majanga ya watu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=rvZgmJ-Ma4E
  • Imechapishwa: 07/03/2020