Kuuona mwezi mwandamo kwa njia ya uchunguzi wa nyota


Swali: Ni upi usahihi wa kuonekana kwa mwezi kupitia uchunguzi wa nyota? Je, utendewe kazi?

Jibu: Ndio. Akiuona kwa macho yake kupitia njia hiyo, kupitia mlima au kupitia njia ya mnara, ikithibiti kuwa kweli ameuona kwa macho yake basi autendee kazi. Ni mamoja kupitia uchunguzi wa nyota, kupitia mnara, kwa macho au kwa njia nyingine yoyote. Lakini ni lazima ashuhudie mwaminifu kwamba kweli ameuona.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/70)
  • Imechapishwa: 15/05/2018