Swali: Je, inafaa kuwaunga ndugu kwa njia ya simu?

Jibu: Ndio, huku ni katika kuwaunga ndugu. Mtu anaweza kuwapigia simu na akawaandikia. Zote ni njia za kuunga. Anaweza kumwandikia kaka yake, baba yake mkubwa au mdogo na ndugu zake wengine ambapo akawajulia afya na hali zao au akazungumza nao kwa simu. Yote haya ni mazuri na ni kuunga.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/15206/%D9%87%D9%84-%D8%AA%D8%AC%D9%88%D8%B2-%D8%B5%D9%84%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B1%D8%AD%D9%85-%D8%A8%D8%A7%D9%84%D9%87%D8%A7%D8%AA%D9%81
  • Imechapishwa: 13/05/2019