624- Nilimuuliza Ahmad juu ya mtu ambaye anafanyiwa chuku katika Ramadhaan. Akajibu:

“Ailipe siku hiyo.”

625- Nikamuuliza Ahmad juu ya funga ya mfanya chuku. Akajibu:

“Sipendelei ifanyike katika Ramadhaan. Ailipe siku hiyo.”

Nikamuuliza Ahmad vilevile kuhusu mwenye kufanya chuku katika Ramadhaan kama anatakiwa kuilipa siku hiyo. Akajibu:

“Ndio.”

  • Mhusika: Imaam Abu Daawuud Sulaymaan bin al-Ash´ath as-Sijistaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ahmad, uk. 130
  • Imechapishwa: 23/03/2021