Kutumia uchawi kwa ajili kupatanisha wanandoa

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia uchawi sio kwa ajili ya kuwatenganisha mke na mume lakini kwa ajili ya kuwapatanisha?

Jibu: Yote mawili ni haramu na hayajuzu. Hautumiwi si kwa ajili ya kuwaunganisha wala kuwatenganisha. Haijuzu kufanya hivo. Ni uchawi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (60) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16548
  • Imechapishwa: 16/09/2017