Swali: Yule mwenye kutumbukia katika moja ya vitenguzi vya Uislamu anatakiwa kuifanya upya imani yake kwa kushuhudia?

Jibu: Ndio. Isitoshe anatakiwa kutubia juu ya kitenguzi chake na kusema:

”Namuomba Allaah msamaha na kutubia Kwake juu ya kadhaa na kadhaa.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (81) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%B4%D8%B1%D8%AD%20%D9%81%D8%AA%D8%AD%20%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AC%D9%8A%D8%AF%20-24-07-1439%20%D9%87%D9%80.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2018