Swali: Ni ipi hukumu ya kuacha kuswali swalah ya ´iyd kwa makusudi?

Jibu: Wakiiacha watu wote wanapata madhambi. Wakikataa kuiswali wanatakiwa kuuawa kwa sababu ni nembo ya Kiislamu. Ama ikiwa ni baadhi ya watu tu ndio wameiacha, hakuna neno juu yao. Kwa sababu ni jambo lililopendekezwa tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (14) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-03-11-1434.mp3
  • Imechapishwa: 02/06/2019