Swali: Swalah ya mwanamme mabega wazi imechukizwa au ni batili?
Jibu: Batili. Hadiyth inakataza kuswali namna hiyo. Dalili hiyo inapelekea katika kubatilika:
”Asiswali mmoja wenu na hakuna juu ya mabega yake kitu.”[1]
[1] al-Bukhaariy (08/05) na Muslim (04/52).
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 132
- Imechapishwa: 01/07/2022