Kutonyanyua sauti zinapotajwa Hadiyth za Mtume (صلى الله عليه وسلم)


Swali: Kunyanyua sauti wakati wa kusikia Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ni kama kunyanyua sauti anapokuwa mbele yako?

Jibu: Hapana. Hata hivyo inatakSwiwa kuwa na adabu na Hadiyth za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (01) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=190884#219018
  • Imechapishwa: 23/01/2018