Swali: Ni miongoni mwa adabu kutonyanyua sauti mbele ya wanachuoni?

Jibu: Ndio. Wanachuoni ndio warithi wa Mitume[1]. Ikiwa mtu anatakiwa kuwa na adabu na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) vilevile mtu awe na adabu na warithi wake katika wanachuoni kwa ajili ya kuheshimu elimu ambayo ni Sunnah ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

[1] Tazama 1234

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-2-13.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020